Mashabiki wa Yanga visiwani Zanzibar wameendelea kununua kwa wingi tiketi za mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA ambao utapigwa kesho Jumamosi, Septemba 22 katika uwanja wa New Amaan Complex
Mpaka sasa tiketi za VIP zimemalizika, madaraja mengine ambayo tiketi bado zinapatikana ni SAA, ORBIT, URUSI na WINGS
Mchezo utapigwa utapigwa Jumamosi saa 2:30 usiku hivyo kwa wale ambao bado hawajakata tiketi, hawajachelewa
ADVERTISE HERE