Mechi ya kwanza nyumbani ni Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Sep 2024
Mechi ya kwanza nyumbani ni Jumapili

Jumapili, Septemba 29 Yanga itakuwa uwanja wa Azam Complex, kuikabili KMC katika mchezo wa raundi ya tatu ligi kuu ya NBC

Msimu huu Wananchi walianzia ugenini mechi mbili za mwanzo wakifanikiwa kushinda mechi zote, ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar na bao 1-0 dhidi ya KenGold

KMC watakuwa timu ya kwanza kukutana na Yanga nyumbani, ni siku ya Jumapili, saa 3 usiku

Wananchi hawajasahau kile walichowafanya KMC msimu uliopita hapo hapo Azam Complex, mnara ulisoma 5G

Ulikuwa mchezo wa pili baada ya ushindi mwingine wa 5G dhidi ya JKT Tanzania

Ni Jumapili ya kufosi, Yanga imepania kukaa juu ya msimamo wa ligi pale ligi itakaposimama kupisha kalenda ya FIFA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’