Ni siku ya kuvuna Pamba pale Azam Complex

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2024
Ni siku ya kuvuna Pamba pale Azam Complex

Kabla ya kuelekea katika majukumu ya timu za Taifa, leo Yanga inakamilisha raundi ya nne ligi kuu ya NBC kwa mchezo dhidi ya Pamba Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 12:30 jioni

Hii ni mechi nyingine muhimu kwa Yanga kukusanya alama nyingine tatu kabla ya kuelekea mchezo dhidi ya watani, Simba Oktoba 19

Katika mechi mbili zilizopita, mijadala iliibuka kwa kuwa Wananchi walifunga bao moja kila mechi licha ya kuwa waliondoka na alama sita

Ni wazi leo wachezaji wa Yanga watashuka dimba la Azam Complex wakiwa na dhamira moja tu, kupata ushindi ambao utanyamazisha kelele huko mitandaoni

Ni mechi ya kuwakumbusha wale waliojisahau kuwa Yanga ndio timu bora nchini kwa sasa, mabingwa mara tatu mfululizo ligi kuu na kombe la FA

Timu pekee inayocheza hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa ukanda wa CECAFA

Wananchi tukutane dimba la Azam Complex....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’