Kileleni ni suala la muda tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2024
Kileleni ni suala la muda tu

Baada ya Simba kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Coastal Union leo, sasa ni rasmi Yanga ndio timu pekee ambayo haijaruhusu bao msimu huu

Wananchi wakiwa wamecheza mechi nne, wameshinda zote huku cleensheet nazo zikiwa nne

Hesabu zinaanza kukaa sawa kwani Yanga itahitaji kushinda mechi zake za viporo ili kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi

Aidha kama Wananchi watashinda mchezo unaofuata dhidi ya Simba, watafungua uwezekano wa gap la pointi baina yao na watani zao kuwa alama 5

Taratibu kila timu inaelekea katika nafasi yake...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’