Yanga Princess leo itashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Queens katika mchezo wa fainali Ngao ya Jamii
Kocha Edna Lema na vijana wake watakuwa wakisaka taji la kwanza mbele ya timu ngumu ya JKT Queens
Ushindi dhidi ya Simba Queens katika mchezo wa nusu fainali umewaongezea nyota wa Yanga Princess morali na bila shaka leo wanakwenda kupambana kubeba Ngao
Mchezo huo wa fainali utapigwa kuanzia saa 9:30 Alasiri ukitanguliwa na mchezo wa kusaka mshindi wa tatu kati ya Simba Queens dhidi ya Ceasiaa Queens
ADVERTISE HERE