Wachezaji Ibrahim Bacca, Maxi Nzengeli na Chadrack Boka wanachuana kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Yanga kwa mwezi Septemba 2024
Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Yanga hudhaminiwa na NIC ambao pamoja na kutoa tuzo, pia hutoa kitita cha Tsh Milioni 4
Bacca, Boka na Maxi walikuwa na nyakati nzuri Septemba wakiisaidia Yanga kushinda mechi zote zilizochezwa


Nani anastahili kushinda tuzo hiyo?
ADVERTISE HERE