Tunafahamu ubora wa Simba - Gamondi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Oct 2024
Tunafahamu ubora wa Simba - Gamondi

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anaendelea kukiandaa kikosi chake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi, Oktoba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Licha ya kikosi chake kupewa nafasi kubwa kuelekea mchezo huo, Gamondi amesema mchezo hautakuwa mwepesi na watahitaji kupambana ili kuweza kupata matokeo mazuri

Gamondi amesema wanakwenda kucheza dhidi ya timu kubwa yenye wachezaji wengi wenye vipaji hivyo ni lazima kujipanga

"Sisi hatusikilizi nini kinasemwa na wachambuzi au mashabiki kwa sababu tunafahamu tunakwenda kucheza mechi ngumu"

"Simba ni timu kubwa yenye wachezaji wenye vipaji vikubwa na historia ya mafanikio. Tunawaheshimu sana kama wapinzani, lakini tunajipanga vizuri kuwakabili"

"Tunafahamu wanavyocheza na nguvu yao, tutatumia maandalizi yetu kuleta ushindani na kuhakikisha tunapata matokeo mazuri kwa kutumia vyema nafasi tutakazopata," alisema Gamondi

Akiwa katika msimu wake wa pili na Yanga, Gamondi amejipambanua kwa rekodi yake nzuri dhidi ya Simba

Amekutana na Simba mara nne, ameshinda mechi tatu na sare (dakika 90) katika mchezo wa Ngao ya Jamii msimu uliopita ulioamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati

Kocha huyo raia wa Argentina ameiongoza Yanga kushinda mechi tatu mfululizo dhidi ya Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’