Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union
Mtanange huo wa kukata na shoka, utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja huo, saa 10:15 jioni







ADVERTISE HERE