Baada ya kuzindua jijini Dar es salaam Tawi la Wanachama wa Yanga vijana la mtandaoni 'Yang Z', Rais wa Yanga Injinia Hersi Said leo ameshiriki hafla ya uzinduzi wa Tawi hilo Chuo cha Uhasibu jijini Arusha
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ambaye alikuja na ubunifu wa Matawi hayo ya mtandaoni, amesema lengo ni kuhakikisha Yang Z inakuwa na Tawi rasmi katika kila mkoa
Zaidi ya Wanachama 700 walijiandikisha na kupatiwa kadi zao ya uanachama jijini Dar es salaam
Hivi ndiyo vijana wanapaswa kushiriki katika kuiongezea thamani Yanga






ADVERTISE HERE