Kiungo Mudathir Yahya jana alikuwa nyota wa mchezo wa ligi kuu kati ya Coastl Union dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Mudathir 'aliupiga mwingi' katika mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Jean Baleke
Ni mwendelezo wa kubeba tuzo hizo za nyota wa mchezo kwa wachezaji wa Yanga Muda akiungana na Maxi Nzengeli, Chadrack Boka ambao wamesinda mara mbili kila mmoja pamoja na Pacome Zouzoua
Ni mechi moja tu (dhidi ya Kagera Sugar) ambayo Yanga ilikosa tuzo hiyo msimu huu
ADVERTISE HERE