Ni keshokutwa Jumatano Oktoba 30 katika uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar, mechi kubwa ya kuamua nani anakaa kileleni mwa msimamo wa ligi itapigwa
Singida Black Stars watakuwa wenyeji wa Yanga katika mchezo utakaopigwa saa 2:30 usiku
Tayari Singida BS wametangaza viingilio vya mchezo huo;

ADVERTISE HERE