Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida Black Stars ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa New Amaan Complex

ADVERTISE HERE