Viingilio; Yanga vs Azam Fc, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Oct 2024
Viingilio; Yanga vs Azam Fc, NBC PL

Jumamosi, Novemba 02 vinara wa ligi kuu ya NBC, Yanga watashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kumenyana na Azam Fc katika mchezo wa Derby ya Dar es salaam

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo Mzunguuko ni Tsh 10,000/-, VIP B Tsh 30,000/- na VIP A Tsh 50,000/-

Mchezo huo utapigwa saa 12 jioni...

Yanga SC Stories

Yanga Princess bado haijajipata
Yanga Princess bado haijajipata
43m ago
READ MORE β†’
Pacome sasa anatembea bila magongo
Pacome sasa anatembea bila magongo
3h ago
READ MORE β†’
Manqoba katika maandalizi ya dabi ya pili
Manqoba katika maandalizi ya dabi ya pili
7h ago
READ MORE β†’
Mzize anaitaka dabi Oktoba 10
Mzize anaitaka dabi Oktoba 10
9h ago
READ MORE β†’
Kangwanda anauwasha moto Zambia
Kangwanda anauwasha moto Zambia
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 30 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 30 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya Kariakoo Derby
Maandalizi ya Kariakoo Derby
1d ago
READ MORE β†’
Edna Lema apania kumaliza uteja dhidi ya Simba Queens
Edna Lema apania kumaliza uteja dhidi ya Simba Queens
1d ago
READ MORE β†’
Familia ya Mzee Mpili yatoa shukrani kwa uongozi Yanga
Familia ya Mzee Mpili yatoa shukrani kwa uongozi Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Zokouane, Shalulile uso kwa uso kufuzu Afcon 2027 leo
Zokouane, Shalulile uso kwa uso kufuzu Afcon 2027 leo
1d ago
READ MORE β†’