Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto
Katika kipindi cha cha misimu minne, Mwamnyeto amenyanyua zaidi ya mataji 10 ambayo Yanga imeshinda yeye akiwa nahodha
Mwamnyeto ni kiongozi wa mfano anayejitoa kwa ajili ya timu, haishangazi kuona amekuwa kiongozi katika misimu yote ambayo ameitumikia Yanga
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY MWAMNYETO....