Leo Yanga Princess ilikuwa uwanja wa KMC Complex kuikabili Mashujaa Queens katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake
Kwa mara nyingine, Yanga Princess imelazimishwa sare ya bao 1-1 na kinadada hao kutoka mkoani Kigoma
Ni mchezo wa tatu mfululizo Yanga Princess inakosa ushindi katika ligi kuu ya Wanawake mechi zote zikimalizika kwa sare
Kocha Edna Lema ana kazi ya kukiweka sawa kikosi chake hasa safu ya ushambuliaji
ADVERTISE HERE