Nyota wanne wa Yanga wamejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea
Walinzi wa kati Dickson Job na Ibrahim Bacca wameendelea kuaminiwa Kaimu Kocha Mkuu wa Tanzania Hamed Morocco ambaye katika kikosi chake pia amemjumuisha kiungo Mudathir Yahya na mshambuliaji Clement Mzize
ADVERTISE HERE