Klabu ya Yanga imethibitisha mabadiliko ya uwanja wa nyumbani kutoka Azam Complex kwenda KMC Complex
Mechi zote zilizosalia za ligi kuu na kombe la Shirikisho la CRDB ambazo Yanga iko nyumbani, zitapigwa katika uwanja wa KMC Complex
ADVERTISE HERE