Mchezo wa ligi kuu ya Wanawake kati ya Yanga Princess dhidi ya Simba Queens unapigwa katika uwanja wa KMC Complex leo Jumatano saa 10 jioni
Mechi muhimu kwa Yanga Princess 'kujitutumua' ili kurejesha matumaini katika mbio za ubingwa ligi kuu ya Wanawake msimu huu
Mashabiki wa Yanga wameaswa kujitokeza kwa wingi KMC Complex kuipa hamasa timu yao katika mchezo ambao Yanga Princess inahitaji alama tatu
Mashabiki wataingia bure katika mchezo huo kwani HAKUNA KIINGILIO
ADVERTISE HERE