Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kwenda nchini Algeria May 03 tayari kwa mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya USM Alger utakaopigwa Jumapili May 06 huko nchini Algeria.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewakaribisha mashabiki wanaotaka kusafiri na timu kwenda kuiunga mkono nchini Algeria wajiandikishe Makao Makuu ya klabu mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam.
Gharama ya safari hiyo pamoja na tiketi ni dola 732.
Yanga inatarajiwa kuondoka Algeria kurejea nchini May 07.

ADVERTISE HERE