Hatimaye ni rasmi Yanga imethibitisha kuachana na Kocha Miguel Gamondi pamoja na Kocha Msaidizi Moussa Ndaw
Taarifa iliyotolewa na Yanga imethibitisha kuwa mikataba ya makocha hao imesitishwa na mchakato wa kusaka warithi wao imeanza haraka
Gamondi anaondoka Yanga akiwa ameipa mataji ya Ligi Kuu, kombe la FA na Ngao ya Jamii
Kila la kheri Gamondi...!
ADVERTISE HERE