Kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi ya Bodi ya Ligi, imetangaza kumfungia mechi tatu aliyekuwa Kocha wa Yanga Miguel Gamondi kwa kosa la kumpiga na kumuangusha Kocha Msaidizi wa klabu ya Singida Black Stars kwenye mchezo baina ya timu hizo uliochezwa visiwani Zanzibar katika dimba la New Amaan Complex hivi karibuni
Gamondi pia amepigwa faini ya Tsh Milioni 2 kutokana na kocha hilo
Hata hivyo tayari Yanga imetangaza kuachana nae, atatumikia adhabu hiyo kama tarudi tena kufundisha soka Tanzania miaka ijayo
Kamati hiyo pi imefuta kadi ya njano aliyopewa beki Ibrahim Bacca katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union
ADVERTISE HERE