Yanga yamtangaza Sead Ramovic kuwa Kocha Mkuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
โ€ข
15 Nov 2024
Yanga yamtangaza Sead Ramovic kuwa Kocha Mkuu

Yanga imekuja na surprise ya aina yake baada ya kumtangaza Sead Ramovic kuwa Kocha Mkuu akichukua nafasi iliyoachwa na Miguel Gamondi

Awali jina la kocha raia wa Algeria Kheireddine Madoui ndio lililokuwa likitajwa zaidi kumrithi Gamondi

Ramovic ni kocha raia wa Ujerumani ambaye alikuwa akiinoa klabu ya TS Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini

Kabla ya Galaxy aliwahi kuwa kocha msaidizi wa Novi Pazar iliyopo ligi kuu nchini Serbia

Ramovic (45) si kocha mwenye CV kubwa sana lakini kama mchezaji ametamba katika klabu mbalimbali kunako ligi kuu ya Ujerumani, Bundesligaย 

Yanga inakuwa klabu yake ya pili kuifundisha Afrika baada ya TS Galaxy

Karibu Jangwani Ramovic..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga kurejesha heshima mbele ya CFFA?
Yanga kurejesha heshima mbele ya CFFA?
1h ago
READ MORE โ†’
Manara ajiweka kitanzini Yanga
Manara ajiweka kitanzini Yanga
1h ago
READ MORE โ†’
Mwenda anarejea, kumuongezea Yao nguvu upande wa kulia
Mwenda anarejea, kumuongezea Yao nguvu upande wa kulia
1h ago
READ MORE โ†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 15 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 15 2026
5h ago
READ MORE โ†’
Aziz Ki kurejea mechi dhidi ya CFFA
Aziz Ki kurejea mechi dhidi ya CFFA
18h ago
READ MORE โ†’
Job ni suala la muda kikosini Yanga
Job ni suala la muda kikosini Yanga
23h ago
READ MORE โ†’
CFFA tayari wameshawasili Dar
CFFA tayari wameshawasili Dar
1d ago
READ MORE โ†’
Vingilio; CFFA vs Yanga, CAFCL R1
Vingilio; CFFA vs Yanga, CAFCL R1
1d ago
READ MORE โ†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 14 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 14 2026
1d ago
READ MORE โ†’
Yanga yaweka nguvu kufuzu hatua ya makundi CAFCL
Yanga yaweka nguvu kufuzu hatua ya makundi CAFCL
1d ago
READ MORE โ†’