Stars yafufua matumaini Afcon 2025

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2024
Stars yafufua matumaini Afcon 2025

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeweka hai matumaini ya kufuzu fainali za Afcon 2025 ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ethiopia katika mchezo uliopigwa Kinshasa, DR Congo

Alikuwa ni Saimon Msuva aliyeitanguliza Tanzania kwa bao la kichwa dakika 15 akimalizia mpira wa kona uliopigwa Novutus Dismas

Ikicheza kwa kujiamini na kutawala mchezo katika kipindi cha kwanza, Stars iliongeza bao la pili katika dakika 31 likifungwa Feisal Salum akimalizia pasi nzuri kutoka kwa Mudathir Yahya

Baada ya kwenda mapumziko na uongozi wa mabao 2-0, kipindi cha pili Stars ilicheza kwa tahadhari zaidi ili kulinda uongozi na hatimaye kufanikiwa kuibuka na ushindi

Ni matokeo ambayo yameirejesha Stars nafasi ya pili kundi H baada ya kufikisha alama 7 ikiwa ni kabla ya mchezo kati ya Guinea dhidi ya DR Congo

Tanzania sasa inahitaji kushinda mchezo kuhitimisha hatua ya makundi Novemba 19 dhidi ya Guinea uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Diarra hatihati kuikoa CFFA
Diarra hatihati kuikoa CFFA
8h ago
READ MORE β†’
Yanga kusaka rekodi ya kufuzu makundi kwa msimu wa nne mfululizo
Yanga kusaka rekodi ya kufuzu makundi kwa msimu wa nne mfululizo
11h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka mkazo, hawatawadharau CFFA
Manqoba aweka mkazo, hawatawadharau CFFA
16h ago
READ MORE β†’
CFFA vs Yanga; Tiketi zinaelekea ukingoni, umekata yako?
CFFA vs Yanga; Tiketi zinaelekea ukingoni, umekata yako?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 16 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 16 2026
21h ago
READ MORE β†’
CFFA wanaandaliwa dozi ya kuwatosha
CFFA wanaandaliwa dozi ya kuwatosha
1d ago
READ MORE β†’
Manara ajiweka kitanzini Yanga
Manara ajiweka kitanzini Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Yanga kurejesha heshima mbele ya CFFA?
Yanga kurejesha heshima mbele ya CFFA?
1d ago
READ MORE β†’
Mwenda anarejea, kumuongezea Yao nguvu upande wa kulia
Mwenda anarejea, kumuongezea Yao nguvu upande wa kulia
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 15 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 15 2026
1d ago
READ MORE β†’