Musonda hakamatiki Kimataifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Nov 2024
Musonda hakamatiki Kimataifa

Kennedy Musonda jana alihakikisha Zambia inamaliza kinara wa kundi G akifunga bao muhimu katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sierra Lione ugenini katika mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi Zambia ikiwa tayari imefuzu kwa michuano ya Afcon 2025

Hilo lilikuwa bao la nne kwa Musonda katika kampeni ya kuwania kufuzu Afcon 2025 akiwa pia ametoa pasi moja ya bao

Kati ya mabao 7 yaliyofungwa na Zambia katika michuano hiyo, Musonda amehusika katika mabao matano!

Bila shaka kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic atakuja na mbinu sahihi ili kuweza kumtumia Musonda katika kikosi chake

Itakuwa hasara kwa Yanga kama Musonda ataendelea kukalia benchi kwani akiwa na timu ya Taifa, amedhihirisha ni mshambuliaji hatari

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao aungana na Diarra, Abuya kuikosa CFFA
Yao aungana na Diarra, Abuya kuikosa CFFA
2h ago
READ MORE β†’
Yanga kutangulia makundi CAFCL leo? Droo Oktoba 28
Yanga kutangulia makundi CAFCL leo? Droo Oktoba 28
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs CFFA, CAFCL MD2
Matchday; Yanga vs CFFA, CAFCL MD2
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 21 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 21 2026
9h ago
READ MORE β†’
Tayari kuhitimisha kazi ya kufuzu makundi CAFCL
Tayari kuhitimisha kazi ya kufuzu makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
1d ago
READ MORE β†’
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
1d ago
READ MORE β†’
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mwenda aanza mazoezi Yanga
Mwenda aanza mazoezi Yanga
1d ago
READ MORE β†’