Mamia ya mashabiki wa Yanga wamejitokeza Makao Makuu ya klabu hiyo, Jangwani jijini Dar es salaam kwa ajili ya kununua jezi maalum za michuano ya ligi ya mabingwa zilizozinduliwa jana
Pia mauzo ya tiketi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal yanaendele hapo Jangwani
Jezi zinapatikana kwa bei elekezi ya Tsh 50,000/- tu




ADVERTISE HERE