Picha juu, kikosi cha Yanga jana baada ya kumaliza kambi ya siku tano mkoani Morogoro
Mchezo wa kesho una umuhimu wa kipekee kwa kikosi cha Yanga kwa kuwa ni matokeo ya ushindi ndiyo yanayohitajiwa zaidi kwa wakati huu.
Yanga inashuka kwenye mchezo huo ikiwa na kikosi chake kamili ukimuondoa Donald Ngoma ambaye ni majeruhi.
Jana Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten aliwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu kuhakikisha ushindi unapatikana.
Uwepo wa mashabiki wengi dimbani utaongeza hamasa kwa wachezaji.
Wachezaji wa Yanga wameahidi kutimiza majukumu yao ipasavyo. Morali yao iko juu pengine kuliko wakati mwingine wowote.

ADVERTISE HERE