Mashabiki wa Yanga wameendelea kununua tiketi kwa kasi siku tatu zikisalia kuelekea mchezo wa kwanza wa makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Hilal utakaopigwa Jumanne, Novemba 26 2024
Hadi kufikia jana jioni, tiketi za VIP A zilibaki chache ambapo bila shaka Wananchi leo watazimaliza. Karibu nusu ya tiketi za mzunguuko tayari zimeuzwa
Timu ya hamasa leo iko maeneo ya Karume Sokoni, unaweza kukata tiketi yako katika kwa urahisi katika maeneo hayo
ADVERTISE HERE