Yanga kesho Jumapili itakuwa mgeni wa Simba uwanja wa Taifa katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 26.
Afisa habari wa Yanga Dismas Ten kwa mara nyingine amesisitiza umuhimu wa mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani kuiunga mkono timu.
Yanga inatarajiwa kutumia jezi za kijani hivyo amewaasa mashabiki kuvaa jezi zenye rangi hiyo ili kutengeneza muonekano mzuri baina ya wachezaji na mashabiki.
Kikosi cha Yanga leo jioni kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo.

ADVERTISE HERE