Ilikuwa wiki ya kazi Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Nov 2024
Ilikuwa wiki ya kazi Avic Town

Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic leo anakamilisha maandalizi ya kikosi chake kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Hilal

Kesho Jumanne, Yanga itakuwa mwenyeji wa Al Hilal katika mchezo utakaopigwa saa 10 jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kwa wiki nzima, Ramovic na vijana wake walijifungia Avic Town kuiandaa dozi nzito kwa ajili ya Al Hilal

Leo yatafanyika maandalizi ya mwisho kuelekea mtanange huo ambao utakuwa wa kwanza kwa Ramovic tangu arithi mikoba ya Miguel Gamondi

Jambo la uhakika ni kuwa Wananchi wanakwenda kufurahiΒ 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’