Aucho, Mzize bado kidogo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2024
Aucho, Mzize bado kidogo

Wachezaji Khalid Aucho na Clement Mzize hawatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC utakaopigwa kesho Jumamosi, Novemba 30 katika uwanja wa Majaliwa

Aucho na Mzize walipata majeraha katika mechi za timu za Taifa kuwania kufuzu Afcon 2025

Nyota hao walikosa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal na pia wataikosa Namungo Fc

Hata hivyo huenda wakarejea katika mchezo wa raundi ya pili ya ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 07 huko Algeria

Beki wa kati Ibrahim Bacca ataendelea kukosekana katika mechi za ligi akitumikia adhabu ya kadi nyekundu

Bacca pia alikosa mchezo dhidi ya Tabora United, na atakosa mchezo utakaofuata baada ya Namungo kabla ya kurejea tena kikosini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’