Mashabiki wawapa hamasa wachezaji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2018
Mashabiki wawapa hamasa wachezaji Yanga
Jana umoja wa mashabiki wa Yanga kutoka mitandao mbalimbali ya kijamii walikabidhi kitita cha Tsh Milioni 3 kwa wachezaji ili kuwahamasisha wafanye vizuri kwenye mchezo wa leo dhidi ya Simba.

Fedha hizo zilikabidhiwa kwa Juma Abdul kwa niaba ya wachezaji wenzake ambao beki huyo matata ameahidi hawata-waangusha mashabiki leo.

Mbali na kitita hicho, ushindi pia utawaongezea mapato wachezaji, ukiwa ni utaratibu uliowekwa na uongozi wa tangu mwanzoni mwa mwaka huu.

Wachezaji wa Yanga wataingia uwanja wa Taifa leo wakifahamu kuwa wanahitaji kushinda leo ili kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’