Yanga tayari kuifuata MC Alger

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2024
Yanga tayari kuifuata MC Alger

Kikosi cha Yanga kinaelekea Algeria kuwakabili MC Alger katika mchezo wa raundi ya pili ya hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF CL)

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Disemba 07 katika uwanja wa Julai 05, saa 1 usiku

Ni palepale katika dimba ambalo misimu miwili nyuma Yanga ilicheza fainali ya kombe la Shirikisho (CAF CC) na kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya USM Alger

Yanga inatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam baadae leo tayari kwa mchezo huo muhimu

Yanga inahitaji kushinda au hata sare ugenini ili kuweka hai malengo ya kufuzu robo fainali

Kikosi cha kocha Sead Ramovic hakipaswi kupoteza mchezo huo hasa baada ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Al Hilal

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’