Kikosi cha Yanga kimetua salama ndani ya jiji la Algiers huko Algeria tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakaopigwa Jumamosi, Disemba 07 katika uwanja wa Julai 05 muda mchezo huo ukiwa saa 4 usiku
Yanga iliondoka nchini jana jioni ambapo timu ilitua Dubai kwa ajili ya mapumziko na kuunganisha safari ya kuelekea Algeria mapema leo Jumatano
WANANCHI WATINGA ALGERIA
β Azam TV (@azamtvtz) December 4, 2024
Kikosi cha Yanga kimewasili katika jiji la Algers nchini Algeria mchana huu tayari kwa mchezo wao dhidi ya MC Alger utakaopigwa Jumamosi saa 4:00 usiku na kukufikia mbashara kupitia #AzamSports1HD#CAFChampionsLeague #CAFCL #CCL #LigiYaMabingwaAfrika⦠pic.twitter.com/3MiXXytRRQ
ADVERTISE HERE