Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na 'session' za mazoezi ya maandalizi ya mchezo wa raundi ya tatu ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya makundi dhidi ya TP Mazembe
Jumamosi Disemba 14 Yanga itakuwa Lubumbashi kuikabili TP Mazembe katika mchezo muhimu ambao Yanga inahitaji kupata matokeo mazuri
Yanga inakamilisha maandalizi yake kabla ya kusafiri DR Congo ambapo kikosi kikaondoka nchini Alhamisi
ADVERTISE HERE