Tunakwenda Congo kusaka ushindi - Mtine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Dec 2024
Tunakwenda Congo kusaka ushindi - Mtine

Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine amesema timu hiyo imeelekea DR Congo ikiwa na dhamira moja tu, kushinda mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe

Mtine amesema kwa sasa Yanga haina mpango mwingine tofauti na ushindi ili kuweka hai malengo yao ya kufuzu hatua inayofuata katika michuano hiyo

Mtine ambaye amewahi kufanya kazi katika klabu ya TP Mazembe kwa takribani miaka 9, ameongoza msafara wa Yanga ulioondoka jijini Dar es salaam mapema leo

"Ukweli ni kwamba hatua chaguo jingine tofauti na kushinda mchezo dhidi ya TP Mazembe. Hivyo tunakwenda Lubumbashi tukiwa na lengo moja tu, kwenda kushinda"

"Naamini Mwenye ez Mungu atatusaidia na tutashinda mcnezo huo Inshallah," alisema Mtine

Yanga inasaka ushindi wake wa kwanza katika hatua ya makundi msimu huu baada ya kupoteza mechi zote mbili za mwanzo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’