Kikosi cha Yanga kimewasili salama Lubumbashi DR Congo tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumamosi, Disemba 14, 2024

ADVERTISE HERE