Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat-trik katika ligi kuu ya NBC 2024/25
Hat-trik hiyo ameifunga katika mchezo dhidi ya Mashujaa Fc uliopigwa uwanja wa KMC Complex leo na kuisaidia Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-2
Dube sasa amefunga mabao manne katika mechi mbili zilizopita, akifunga bao la kusawazisha katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe
Leo amefungua rasmi akaunti yake ya mabao katika ligi kuu, na ameifungua kibabe..!
Kwa wale waliokuwa wakimbeza Dube bila shaka salamu zake wamezipata...!
ADVERTISE HERE