Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinzi wa kulia wa Yanga Yao Kouassi maarufu 'Jeshiiii'
Yao ni mmoja wa wachezaji muhimu katika kikosi cha kocha Sead Ramovic
Msimu huu bado haujawa mzuri sana kwake kutokana na changamoto za majeraha ya hapa na pale
Lakini msimu uliopita Yao alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotoa pasi nyingi za mabao akitoa pasi 7. Aliingia katika kikosi bora cha msimu
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY YAO YAO.....
ADVERTISE HERE