Kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana wa umri chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' kimewasili leo Jumanne mapema Alfajiri kutoka nchini Burundi kilikotwaa ubingwa wa michuano ya CECAFA.
Awali, Serengeti Boys ilikuwa iwasili Alfajiri ya kesho, Jumatano lakini Baraza la Vyama na Klabu za Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) likawabadilishia tiketi za ndege mabingwa hao wawahi kurejea nyumbani.
Msafara wa Serengeti Boys ulioongozwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ulipokewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembem ambaye amewapongeza vijana kwa ushindi huo.

ADVERTISE HERE