Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Dodoma Jiji, kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya maandalizi ya mchezo unaofuata
Jumapili, Disemba 29 2024 Yanga itafunga mwaka kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate ambao utapigwa uwanja wa KMC Complex
Baada ya mchezo huo, Wananchi watahamishia 'focus' yao katika ligi ya mabingwa ambapo Januari 03 itachuana na TP Mazembe katika dimba la Mkapa






ADVERTISE HERE