Ukisikia 'Boys to Men' ndio hii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Dec 2024
Ukisikia 'Boys to Men' ndio hii

Wachezaji Kibwana Shomari, Dickson Job, Nickso Kibabage na Aboutwalib Mshery wanaendelea kuiandika historia yao ya kipekee katika maisha yao ya kucheza mpira wa miguu

Nyota hao walikutana tangu wakiwa wadogo katika Academy ya Moro Kids mkoani Morogoro

Wakaitumikia timu ya Taifa ya vijana U17 kabla ya kukutana tena katika klabu ya Yanga

Jana wote wameanza katika kikosi kilichoichapa Dodoma Jiji mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC. Pia walianza pamoja katika mchezo uliopita dhidi ya Tanzania Prisons

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’