Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa taarifa kuwa leo Alhamisi May 03 2018 utafanya Mkutano na Waandishi wa habari.
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga jana, Mkutano huo unatarajiwa kuanza saa sita na nusu mchana.

ADVERTISE HERE