Beki na nahodha msaidizi wa Yanga, Dickson Job amezindua kitabu kinachohusu maisha yake
Job amesema lengo la kitabu hicho ni kuwatia nguvu vijana na kuwapa matumaini ya kuzipambania ndoto zao
Job amekusudia kukisambaza kitabu hicho katika shule zaidi ya 5000 ndani ya Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi na Zambia
ADVERTISE HERE