Kazini kwa Yao kuna kazi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2025
Kazini kwa Yao kuna kazi

Misimu michache nyuma, mlinzi wa kulia wa Yanga Kibwana Shomari aliwahi kuja na msemo 'Kazini kwangu kuna kazi' wakati huo akimaanisha wajibu wa kutekeleza majukumu yake kama mchezaji

Kibwana alitumia msemo huo kabla ya usajili wa Yao Kouassi lakini baadae msemo huo ukatumika dhidi yake baada ya kupoteza nafasi yake kwa Yao 

Lakini kiwango anachoonyesha Kibwana tangu ujio wa kocha Sead Ramovic ni kama amebadili upepo na pengine sasa ni sahihi kusema 'kazini kwa Yao kuna kazi'

Msimu huu umekuwa mgumu kwa Yao ambaye anasumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara lakini kwa kile anachokifanya Kibwana, hakuna anayemuulizia beki huyo raia wa Ivory Coast

Baada ya kukosekana kwa muda mrefu katika mechi za Kimataifa, Jumamosi Kibwana akarejeshwa na kuwavaa TP Mazembe katika mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-1

Ni wazi hata Yao atakaporejea baada ya kupona, utawala wake katika safu ya ulinzi upande wa kulia, utakuwa katika majaribu makubwa

Aidha, uwezo wa kutumika kama mlinzi wa kushoto unampa faida zaidi Kibwana ambaye pia anaweza kuwapa changamoto Chadrack Boka, Kibabage na Israel Mwenda aliyesajili katika dirisha hili dogo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
38m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’