Kocha wa Yanga U20 Said Maulid 'SMG' ameongezwa katika benchi la ufundi la Yanga Princess
SMG atashirikiana na Kocha Mkuu wa Yanga Princess Edna Lema katika kuhakikisha wanakiimarisha kikosi cha timu hiyo ya Wanawake
ADVERTISE HERE