Kikosi cha Yanga kimeondoka Mauritania kurejea jijini Dar es salaam baada ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal uliopigwa jana usiku na Wananchi kuibuka na ushindi wa bao 1-0
Yanga sasa inarejea nyumbani kukamilisha malengo ya kufuzu robo fainali ambapo Jumamosi, Januari 18 itachuana na MC Alger katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni
Yanga inahitaji kushinda mchezo huu ili kutinga robo fainali ya CAF CL kwa msimu wa pili mfululizo





ADVERTISE HERE