Shamrashamra na hamasa kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger ambao utapigwa Jumamosi Januari 18 katika uwanja wa Benjamin Mkapa zinaendelea
Leo Kivukoni na maeneo ya jirani walipata nafasi ya kupamba hamasa hizo ambapo mamia ya wananchi walijitokeza kuburudika pamoja na kununua tiketi zao
Kama bado hujakata tiketi usije laumu kama utakoss tiketi kwani Wananchi wenzako wanaendelea kujipatia tiketi zao kwa kasi kubwa










ADVERTISE HERE