Kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation leo wametembelea kituo cha kulea Watoto Yatima cha Kibada, Kigamboni na kuwapatia mahitaji mbalimbali



ADVERTISE HERE