Mashabiki Yanga wampagawisha Ramovic

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jan 2025
Mashabiki Yanga wampagawisha Ramovic

Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic ameeleza kufurahishwa na tabia ya mashabiki wa timu hiyo akidai mapenzi makubwa kwa timu yao ni kitu kinachomfanya ajione ana kazi ya kufanya

Ramovic ametoa ahadi kuwa ataendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha Yanga inakuwa mara zaidi na kupata matokeo mazuri

Juzi Yanga iliondoshwa katika michuano ya ligi ya mabingwa baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya MC Alger

Licha ya matokeo hayo, mashabiki wa Yanga wameonyesha ukomavu wakiendelea kuwa sambamba na timu yao

"Nimekuwa hapa kwa miezi miwili, mashabiki ni moja ya mambo ambayo yanafanya klabu hii kuwa maalum"

"Ninaelewa kabisa maoni yao kwa sababu inaonyesha jinsi wanavyojali sana. Jibu langu ni rahisi: fanya kazi kwa bidii zaidi, boresha kila siku, na ujithibitishe kupitia matokeo," aliandika Ramovic katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Baada ya kuondoshwa katika michuano ya ligi ya mabingwa, jukumu la Mjerumani huyo sasa ni kutetea mataji ya ligi kuu ya kombe la CRDB ambayo Yanga inayashikilia kwa misimu mitatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’