Yanga Princess yaifumua Bunda Queens 4-1

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2025
Yanga Princess yaifumua Bunda Queens 4-1

Kikosi cha Yanga Princess kimeanza kugawa dozi katika ligi ya Wanawake leo wakiwafumua kinadada wa Bunda Queens mabao 4-1 katika mchezo uliopigwa dimba la KMC Compex

Ni mechi ya kwanza ya mzunguuko wa pili, matunda ya maboresho yaliyofanyika kwenye dirisha dogo yakianza kuonekana

Mabao ya Yanga Princess katika mchezo huo yalifungwa na Neema Kiniga, Eragash Tandesse, Asha na Agynho Palagyo

Benchi la ufundi la Yanga Princess liliboreshwa ambao mkongwe Said Maulid 'SMG' aliyekuwa akikinoa kikosi cha Yanga U20 aliongezwa na sasa anashirikiana na kocha mkuu Edna Lema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
26m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’